Home » Music » NAMNA YA KUSALI NOVENA YA KASI. Ni Msaada mkubwa katika DHARURA. ITUMIE!

NAMNA YA KUSALI NOVENA YA KASI. Ni Msaada mkubwa katika DHARURA. ITUMIE!

Written By Valeriana Simon on Friday, Feb 11, 2022 | 11:54 AM

 
TUSALI KWA BIDII, #Memorare #Expressnovena #MtTheresawa Kalkuta. Watu wengi wanazidi kunishirikisha shuhuda zao kupitia novena hii ya Kasi. wajukishe na wengine, share sana watu wakutane na Mungu katika dharura zao. Mawasiliano: Email: [email protected] Facebook: Valeriana Mayagaya Instagram: Valeriasimon783