Home » Music » Vaileth Mwaisumo - Mama (Official Music Audio)

Vaileth Mwaisumo - Mama (Official Music Audio)

Written By Vaileth Mwaisumo on Tuesday, Aug 08, 2023 | 01:56 PM

 
Mama ni kiungo muhimu kwenye maisha. Hakuna asiye na mama yale wanayoyapitia, vita wanavyopigana, yale Wanavumilia ndio jumla ya wimbo huu hakika wimbo huu mfikie kila mama kwamba kazi yake ni njema.#VailethMwaisumo #Mama #OfficialMusicAudio