Home » People & Blogs » MAZOEZI YA YANGA SC AVIC TOWN NI JASHO NA DAMU/GAMONDI NA KIKOSI CHAKE /GIFT FRED /KIBABAGE/MUSONDA

MAZOEZI YA YANGA SC AVIC TOWN NI JASHO NA DAMU/GAMONDI NA KIKOSI CHAKE /GIFT FRED /KIBABAGE/MUSONDA

Written By Mnakaya Tv on Sunday, Jul 16, 2023 | 08:07 AM

 
YANGA SC siku ya jana imendelea kufanya MAZOEZI ya kujiandaa na msimu mpya wa ligi kuu ya NBC PL 2023/24 jijini Dar ES SALAAM katika eneo la AVIC TOWN rasmi kocha mkuu wa Yanga SC imeweza kufika na kuendeleza kuwafundisha timu yake kwa ujumla baadhi ya wachezaji ambao waliweza kuwepo katika MAZOEZI hayo ni pamoja na MUSONDA,GIFT FRED, KIBABAGE,MZIZE n.k KARIBU MNAKAYA TV 🙏. USISAHAU KUSUBCRIBE KATIKA CHANNEL YETU 🙏🏟️⚽. TUNAKUPASHA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI 🏟️⚽