Home » News & Politics » TOT Plus Band - Chama Chetu Cha Mapinduzi Chajenga Nchi (Live)

TOT Plus Band - Chama Chetu Cha Mapinduzi Chajenga Nchi (Live)

Written By Sifael Essau Mpollo on Friday, Dec 23, 2022 | 07:44 AM

 
Bendi ya Chama Cha Mapinduzi - Tanzania One Theatre (TOT Plus Band) wakitumbuiza kwenye Mkutano Mkuu wa Kumi (10) wa Taifa wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma mnamo tarehe 28 Novemba 2022 ambapo Mgeni Rasmi alikuwa ni Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Samia Suluhu Hassan. #ChamaChaMapinduzi #TOTBendi #UWT #UchaguziCCM