Home » Music » Vaileth Mwaisumo – Subirini (Official Music Video)

Vaileth Mwaisumo – Subirini (Official Music Video)

Written By Vaileth Mwaisumo on Friday, Oct 14, 2022 | 10:00 AM

 
MUNGU ndio msemaji wa mwisho wa maisha ya mtu wanadamu wanapoona unapita kwenye jaribu ni rahisi kutamka mambo magumu lakini maneno yao sio muhuli wa kuzuia mpango wa MUNGU usitimie maishani mwako. Wimbo huu ukukumbushe kuwa haijalishi unapitia nini MUNGU bado amekuandalia mwisho mwema. #VailethMwaisumo #Subirini #MUNGUhajamalizananami.Channel Administered by Huru Digital Instagram: https://www.instagram.com/hurudigital/