Home » Music » INAKUWAJE TUNASIKIA MANENO by P.F.Mwarabu sung by Friends that became family-St.Augustine DOL Lodwar

INAKUWAJE TUNASIKIA MANENO by P.F.Mwarabu sung by Friends that became family-St.Augustine DOL Lodwar

Written By Mary Mimina on Saturday, May 28, 2022 | 09:43 AM

 
These are friends that became family singing INAKUWAJE TUNASIKIA MANENO BY P.F.MWARABU a song sung during the Pentecost Day when Jesus sent the Holy spirit to His disciples that He had promised them during His Ascension. May the Holy spirit come and sanctify our lives. INAKUWAJE TUNASIKIA MANENO Lyrics Inakuwaje tunasikia maneno, wanayosema, kwa lugha yetu wenyewe. Tunasikia mambo hayo ya Mungu, wanayosema, kwa lugha yetu wenyewe. (Wao ni wa ghalilaya, nasi ni wa makabila ya kutoka nchi mbalimbali (duniani) lina maana gani, linashangaza jambo hili*2) 1. Siku Ile ya pentekoste ilipofika, mitume nao waamini, walikusanyika pamoja katika nyumba, walimokuwa wamekaa. 2. Mara uvumi wa upepo ukasikika, ndimi za moto zikawashukia, wakawa wamejazwa na roho mtakatifu, na kusema lugha nyingi.