Home » Music » Essence of Worship Ft Imani Shoo - Una Nguvu (Official Music Video)

Essence of Worship Ft Imani Shoo - Una Nguvu (Official Music Video)

Written By Essence Of Worship Ministries on Thursday, Feb 24, 2022 | 04:00 AM

 
Isaya 40:28-31 Je! Wewe hukujua? Hukusikia? Yeye Mungu wa milele, Bwana, Muumba miisho ya dunia, hazimii, wala hachoki; akili zake hazichunguziki. Huwapa nguvu wazimiao, humwongezea nguvu yeye asiyekuwa na uwezo. Hata vijana watazimia na kuchoka, na wanaume vijana wataanguka; bali wao wamngojeao Bwana watapata nguvu mpya; watapanda juu kwa mbawa kama tai; watapiga mbio, wala hawatachoka; watakwenda kwa miguu, wala hawatazimia.Channel Administered by Huru Digital Instagram: https://www.instagram.com/hurudigital/