Home » Music » FOBY - MUDA ( Official Audio )

FOBY - MUDA ( Official Audio )

Written By FOBY on Friday, Dec 03, 2021 | 03:55 PM

 
#MUDA is No 2 Song from “ME MYSELF & I EP” Audio Produced by The Bad number (Lucky) Mixed and Mastered by Yogo Beats *Foby - Muda Lyrics* *Verse....1* Moja ya ndoto zangu Ndoto ni kuishi nawe milele Upendo na hisia zangu Upendo haujawahi shikwa na mwengine Unaondoka sawa Ila roho yangu umeishika wewe Kipenzi Ningekuwa na Chawa Ningemwagiza Kwako akuambie urudi Sema ndo hakuna madoctor Wa upendo wapime ujue Athiriko nilivyoathirika Moyo Nikidondoka niokote Na ukiumwa mi dawa Tutapendana kivyovyote Tulishachanjana Sina lakusema lolote Wakuchukue sawa Mana mi ndo najua kwanini Nilikosa Muda *Chorus...* Ohh Kweli Mapenzi Yanahitaji Muda Kuchitiana ,Kugombana ni Kwa sababu Ya Muda Ohhh Mapenzi Yanahitaji Muda Mi mwenyewe nateseka ni Kwasababu ya Muda *Verse...2* Kweli nimekosea Na leo nakiri makosa kwako Nilikuonea sikuwa na muda kabisa na wewe Ulivumilia Ukiwa unajua nitabadilika wowooo Kumbe ndo kwanza Unaondoka sawa Ila roho yangu umeishika wewe Kipenzi Ningekuwa na Chawa Ningemwagiza Kwako akuambie urudi Sema ndo hakuna madoctor Wa upendo wapime ujue Athiriko nilivyoathirika Moyo Nikidondoka niokote Na ukiumwa mi dawa Tutapendana kivyovyote Tulishachanjana Sina lakusema lolote Wakuchukue sawa Mana mi ndo najua kwanini Nilikosa Muda *Chorus...* Ohh Kweli Mapenzi Yanahitaji Muda Kuchitiana ,Kugombana ni Kwa sababu Ya Muda Ohhh Mapenzi Yanahitaji Muda Mi mwenyewe nateseka ni Kwasababu ya Muda *Thanks God* 🙏🏾🙏🏾 -~-~~-~~~-~~-~- Please watch: "Foby ft Jay Moe - Tuliachanaje (Official Music Video) | 2024 Rease" https://www.youtube.com/watch?v=a77xF3nqk7Y -~-~~-~~~-~~-~-