Home » Music » Jay Melody - Huba Hulu (Official Video)

Jay Melody - Huba Hulu (Official Video)

Written By Jay Melody on Friday, Mar 05, 2021 | 11:49 AM

 
#Jaymelody #Hubahulu Mung'unya au tafuna kitu mororo Yakheeee saa sita napata supu kongoro Mama Ijumaaa biriani ya mama cholo Busati mkeka sio kila siku godoro Ai wewe nimekwisha Ni mapenzi yamenishika Ai nyinyi nimekwisha Maumivu hasta la vista Okeeeeeeeeeeeeh bumba 🎶🎶🎶 Aiiiiiiiiii 🎶🎶🎶 Kama kaupala ni upala Sa nasafisha makutu Na ikiwa vita fujo vurugu Nashikisha mututu Hizi biashara ndo balaa Baby nishike kwa huku Kavalia ushanga alafu Chini kavalia kikuku Ai wewe nimekwisha Ni mapenzi yamenishika Ai nyinyi nimekwisha Maumivu hasta la vista Okeeeeeeeeeeeeh bumba 🎶🎶🎶 Aiiiiiiiiii 🎶🎶🎶 Huba Hulu Eindama yuhibuk shakhs ma Eindama yuhibuk shakhs ma Utanigaia Sasa (Oooyah) Utanipikia Sasa (Oooyah) Utanifanyia Sasa (Oooyah) Utanipatia Sasa (Oooyah) Al Habibi Al Habibi Al Habibi Al kasus baridi Al Habibi Al Habibi Al Habibi Al kasus baridi baridi baridi aaaaah Al kasus baridi 🎶🎶🎶 Hubahulu available on all platform. http://smarturl.it/hubahulu​ Jay Melody Booking Info: Email:[email protected] Catch Up With Jay Melody On: Instagram:https://www.instagram.com/realjaymelody​ Facebook:https://www.facebook.com/jaymelody​ Twitter:https://twitter.com/jaymelody​ TikTok:https://tiktok.com/realjaymelody​ Directed by BLACK X Produced by JINIX66 @2021 channel administered by Ngomma Vas,