Home » Music » Asilegee Moyowe - Traditional | harmony - John Mgandu | Sauti Tamu Melodies | Kwaresma/ Ijumaa kuu

Asilegee Moyowe - Traditional | harmony - John Mgandu | Sauti Tamu Melodies | Kwaresma/ Ijumaa kuu

Written By Sauti Tamu on Tuesday, Jan 05, 2021 | 10:51 PM

 
Asilegee moyowe, asitokwe machozi, akimbkumbuka Munguwe, kwa yake makombozi Mtoa roho msalabani, mtaka kufa mwenyewe Kwa sababu kumpenda'ni nani mfunga moyowe .... #SautiTamu #Zilipendwa #Kwaresma Melody French Traditional Tune Adapted by Giovanni Battista Pergolese God of Mercy and Compassion Accompaniment/Harmony by John Mgandu Swahili Text : Traditional English Captions - Martin Munywoki Umeandaliwa na Martin Mutua Munywoki Waimbaji wametoka St. Paul's Catholic Chapel University of Nairobi Tazama nyimbo nyinginezo za kipindi cha kwaresma katika channel hii kama vile Asilegee Moyowe, Amin Amin Nawaambia, Watumishi wake Baba wangapi waliopo, Bwana kama wewe ungehesabu maovu yetu, nani angesimama, Yesu akalia kwa sauti kubwa, Baba mikononi mwako naiweka roho yangu, Pasipo Makosa, Kwa nini wasimama mbali, nimekukimbilia wewe Bwana, na nyinginezo. These are Catholic Lent songs, holy week songs, Good Friday Songs, Holy Thursday Songs, passion of Christ. Asiregee Moyowe ni wimbo wa Kwaresma, Juma Kuu, Ijumaa kuu, na njia ya msalaba Tafuta pia nyimbo nyingine kama Nimekukimbililia wewe, moyo wangu, Baba mikononi mwako, mwanzi uliopondeka, gusaneni majeraha, Yuda akarudi (nchi inazizima), umekosa nini Yesu, lakini hata sasa nirudieni mimi, nihurumie nimekosa, uturehemu ee Bwana, Mungu wangu mbona umeniacha, Mama Pale Msalabani, kwa ajili ya mateso makali, na nyinginezo kukamilisha playlist yako ya Kwaresma na Holy Week