Home » News & Politics » TANZANIA VS TUNISIA || SIKIA MAONI NA TABIRI ZA MASHABIKI BONGO

TANZANIA VS TUNISIA || SIKIA MAONI NA TABIRI ZA MASHABIKI BONGO

Written By Mwananchi Digital on Tuesday, Nov 17, 2020 | 12:05 PM

 
wakati timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ikishuka uwanjani leo Jumanne kuwakabili Tunisia katika mchezo wa kuwania kufuzu kwa michuano ya Afcon, wadau wa soka jijini Mwanza wameonesha matumaini ya timu hiyo kuweza kupata ushindi. Stars inawakaribisha wapinzani hao ikiwa ni mchezo wa marudiano ambapo mechi ya kwanza wakiwa ugenini walikubali kulala bao 1-0, hivyo kufanya mpambano wa leo Novemba 17 kuwa mgumu lakini muhimu kwa timu hiyo ya hapa nchini.