Home » News & Politics » SAID KUBENEA ATOA CHOZI, AWASHUKURU WALIOMLIPIA MILIONI 14

SAID KUBENEA ATOA CHOZI, AWASHUKURU WALIOMLIPIA MILIONI 14

Written By Mwananchi Digital on Friday, Sep 11, 2020 | 07:00 AM

 
Mbunge wa zamani wa jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam,Said Kubenea Leo amepata dhamana mbele ya hakimu Mkazi mfawidhi ,Martha Muhumbuga aliyesikiliza kesi hiyo na alitokwa na machozi akishukuru watu waliojitokeza kushughulia shauri lake. Kubenea amedhaminiwa baada ya kutolewa dhamana ya fedha taslimu, sh 14.5 milioni na kudhaminiwa pia na watu wawili, Mwenyekiti wa chadema wilaya ya Arusha, Ephata Nanyaro na Mwenyekiti wa chama cha ACT-Wazalendo, Mwahija Choga. KIBAHA/KAMPENI ZA CHADEMA https://www.youtube.com/watch?v=Bggfdllpx9Q&t=31sLISSU ALIVYOJIUZA