Home » People & Blogs » TATESA EP13 - UFUGAJI BORA WA MBUZI

TATESA EP13 - UFUGAJI BORA WA MBUZI

Written By TATESA on Friday, Jun 05, 2020 | 08:34 AM

 
Ili uweze kuwa mfugaji bora wa mbuzi yapo mambo muhimu unayopaswa kuyafahamu, mambo hayo yatakusaidia kwa namna moja au nyingine kuweza kusonga mbele kwenye suala la mafanikio kiufugaji. 1.Mbegu Bora (Aina ya Mbuzi - Nyama au Maziwa) 2.Banda Bora 3.Malisho 4.Zingatia Ushauri wa Wataalamu wa Mifugo 5.Kuweka Kumbukumbu ya uzalishaji Kwa Mafunzo na Ushauri zaidi juu ya Kilimo na Ufugaji Wasiliana Nasi 0715 866 027 0714 002 959 0754 431 449 instagram @tatesa_agriculture [email protected] www.tatesatz.com