Written and Performed by Michael Mugo
Directed and Shot by Dashy Chazzy
Audio Produced by SoFresh
LYRICS
Bring it in
Tuko ma ngwai everyday #SHASH
Tuko kwa sky elevate
This is just how you meditate. Yea!
Ziggy, Mbichwa ama Raw ndio fiti.
Mpishi, funga hio shada kaa mshipi.
Ona wamechizi, kuvuta nyaru saa zingine tricky.
Fukuza ibilisi, SHASH itakufanya Ufeel easy.
Niko tu mandizi, kaa mKisii ako na Bibi.(Stick Talk)
Kaa hunishiki, Mi hushikwa na Madem si ma chichi.(No)
Sijawai shikwa na hii fame mi ni gwiji.
Sijawai fika kwa hii game niko tizi
Sijawai kula huu Dem nishawai kula huu Dem lakini tushawai patana tukiwa Wawili...Blunder!
Bring it in
Tuko ma ngwai everyday #SHASH
Tuko kwa sky elevate
This is just how you meditate. Yea!
Jesus Christ.
Dhambi zimeshika kama moto
Wanaiba wakidhani si wasoto
Wanaiba tukibebwa tu utoto
Diapers nimesunda tu kwa mbosho
Just in case nirarukiwe na mboshooo
Za jana, Tukitibu munchies kwa kibanda
Tulileta fine chicks hapa Java
Waka order Ice cream na kahawa
Bill ikawa sawa, fine chick akahisi kula burger
Kama Mejja, nikampeleka steers, nikanununua beer
Zikambamba akaanza kuniambia
"Sikujui nakutaka, itisha Taxi tena haraka"
Fika home washa hio shada
Saka hio steam mwonyeshe zimepanda
Toa hio Jeans mwonyeshe anaconda
Vuta hio slit leo zinabamba
Round two ndio ntakuja kuku murder
Kama beat nilipewa na yule drummer
Leo sheets utajua tu ni Drama
Zikishuka tunawasha tu kashada. Moto!
Bring it in
Tuko ma ngwai everyday #SHASH
Tuko kwa sky elevate
This is just how you meditate. Yea!
#JustImagineAfrica #SHASH #LIOOON #Ngomma #Trap #Kenya #Music #Vibez