Home » Music » Z Anto - Nichape (Official Video)

Z Anto - Nichape (Official Video)

Written By Z anto on Wednesday, Feb 26, 2020 | 10:42 AM

 
#ZAnto#Nichape#Ngommakenyanlovesong Channel Administered by Ngomma VAS Limited. ©2020 Nichape Love song kutoka kwa Z Anto video inamuonesha aliyekuwa mke wake wa ndoa Sandra Khan (Binti kiziwi ) baada ya kutoka kutumikia kifungo Nchini China, Nichape inazungumzia Mwanaume aliyempa nafasi Mpenzi wake na ridhaa juu ya Maisha yao kuwa amfanye atakacho ktk mapenz kwa jinsi anavyompenda. Audio: imetengenezwa na BLAZA na Mazuu Video: imefanyika Tanzania chini ya Kwetu Studios. Instagram : @z_antoofficial Facebook : Anto Malavdav Twiter : zantoofficial