Home » Music » Nainama [REGGAE COVER] - TuneDem Band

Nainama [REGGAE COVER] - TuneDem Band

Written By TUNEDEM BAND on Thursday, Apr 11, 2019 | 04:05 AM

 
Cover Artist : TuneDem Band Original Artist : Pitson Song : Nainama [Cover] Audio : Taji Music Video : True Works Media Dir : Davy Barbz / Kepha Charles [ We do NOT own the rights to the music in this video. Its a Cover] LYRICS. Duniani na mbinguni hakuna Mungu mwingine Jina Yesu likitajwa nainama nainama . . Mwamba imara kwako niko salama Nikupe nini Mungu usiyeshindwa Mwamba imara kwako niko salama Nikupe nini Mungu usiyeshindwa . . Jina lako Yesu limeshinda yote Nikipata Yesu nimepata yoote Mkate wa uzima (niwe), mfalme wa amani(niwe) Mkate wa uzima (niwe), mfalme wa amani(niwe) . . Duniani na mbinguni hakuna Mungu mwingine Jina Yesu likitajwa nainama nainama Nainama nainama . . Wakati wa dhiki, wewe ndiwe faraja Wakati wa kilio wewe ndiwe furaha Unanijua baba siwezi jificha Macho yako Baba yako kila pahali . . Jina lako Yesu limeshinda yote Nikipata Yesu nimepata yooote Mkate wa uzima (niwe), mfalme wa amani(niwe) Mkate wa uzima (niwe), mfalme wa amani(niwe) Niwe niwe niwe . . Duniani na mbinguni hakuna Mungu mwingine Jina Yesu likitajwa nainama nainama Nainama nainama