Home » Entertainment » Alichokifanya ZARI kwa Mtoto wake Princess 'Tiffah Dangote'

Alichokifanya ZARI kwa Mtoto wake Princess 'Tiffah Dangote'

Written By CHAMPION HABARI on Monday, May 28, 2018 | 06:30 AM

 
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Katika Kuhakikisha Mtoto wake anafuata nyayo zake kuwa staa baadae mwanamama Zari The Bosslady ameamua kumfungulia Rasmi website Mtoto wa kike Pekee Ambaye amezaa Na msanii Diamond Platnumz Tiffah Dangote. Ofcourse Website bado inatengenezw na ikimalizika Basi Rasmi Kupitia Website Hiyo Utaona Vituko Mbwembwe Pamoja na Maisha ya Mtoto Wa Diamond Na Zari Latifah Naseeb Kupitia ukurasa wake wa instagrama anaotumia Latifah amabo unajulikana kama Princess Tifaf ambayo amama ake zari the Bosslady Ndio ama I control sasa aliweka Screenshots ya website hiyo itakavyokuwa na kwenye Caption Akaandika kwamba Eeeh Bhana akaunti ya Tiffah Instagram ina followers Zaidi Milioni Moja na laki Nane so kupitia website hiyo ni fursa nyingine kwa zari the bosslady kumtengezea fursa ya kutengeneza mtonyo mapema mtoto wake Tiffah Dangote kupitia matangazo yatakayowekwa katika website hiyo. So Iko Ndiko alichokifanya Zari the Bosslady katika kuhakikisha watoto wake wanaishi kistaa na kuanza kutengeneza pesa Mapema kabisa Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars