Home » News & Politics » Gari ya FFU imepinduka kutokana na mwendokasi imeua askari 2, Kamanda Mpinga ameongea

Gari ya FFU imepinduka kutokana na mwendokasi imeua askari 2, Kamanda Mpinga ameongea

Written By Millard Ayo on Friday, Jan 19, 2018 | 07:40 AM

 
January 19, 2018 Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya Mohammed Mpinga amezungumza na waandishi wa habari na kutoa taarifa juu tukio la ajali ya barabarani iliyotokea January 18, katika barabara kuu ya Mbeya kwenda Tunduma.