Home » Film & Animation » Global Kazini 13: Mapenzi Yaache Kama Yalivyo, Cheki Alichokifanya Jamaa Huyu Baada ya Kunogewa

Global Kazini 13: Mapenzi Yaache Kama Yalivyo, Cheki Alichokifanya Jamaa Huyu Baada ya Kunogewa

Written By Global TV Online on Saturday, Dec 23, 2017 | 04:33 AM

 
Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi Waliozichapa Ofisini Kisa Mapenzi Sasa ni Full Malavidavi, Jamaa Anogewa na Kutangaza Ndoa! mambo yanazidi kunoga katika tamthiliya ya Global Kazini, baada ya Nyemo, Joyce na Mayasa kusimamishwa kazi kwa sababu ya kuonesha utovu wa nidhamu kazini kisa kikiwa ni mapenzi, hatimaye wamerejea kazini na safari hii malavidavi yamepamba moto. Nyemo ametangaza kumuoa Mayasa na sasa mipango ya ndoa imeanza kupamba moto. Usikose uhondo kwa kuingia Global TV Online ujionee picha nzima. Cha kufanya, ingia Youtube kwenye simu yako, laptop au kifaa kinachotumia intaneti kisha andika Global TV Online, ikifunguka andika ‘Global Kazini’ ujionee mwenyewe uhondo. Subscribe https://www.youtube.com/user/uwazi1 FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli...