Home » People & Blogs » KARANI WA MAHAKAMA ATIWA MBARONI KWA RUSHWA ZNZ

KARANI WA MAHAKAMA ATIWA MBARONI KWA RUSHWA ZNZ

Written By KTV TZ ONLINE on Friday, Nov 03, 2017 | 11:35 AM

 
Mamlaka ya kuzuia rushwa na uhujumu uchumi Zanzibar ZAECA imewatia mbaroni mhasibu na karani wa mahakama kwa tuhuma za rushwa Zanzibar. Msaidizi mkuu wa uchunguzi ZAECA Khamis Bakar Aman ameeleza kesi kadhaa ambazo mamlaka hiyo kwa sasa inazifuatilia huku wakitoa onyo kwa maafisa wafeki wa ZAECA ambapo wameibuka kutaka kutapeli watu Zanzibar. -~-~~-~~~-~~-~- Please watch: "LIVE:SHUHUDIA WAZIRI MKUU AKIWASILI UKEREWE" https://www.youtube.com/watch?v=woCCHql4vVE -~-~~-~~~-~~-~- #hakikahiinifahariyetu #hakikahiinifahariyetu