Home » Entertainment » "Kwanini MC Pilipili amfollow baba watoto wangu na kunisnitch"-Nicole Franklin

"Kwanini MC Pilipili amfollow baba watoto wangu na kunisnitch"-Nicole Franklin

Written By Spin Tanzania on Monday, Sep 18, 2017 | 11:05 AM

 
Upande wa pili Miss Shinyanga 2014 Nicole Franklin Sarakikya ameendelea kuweka wazi tofauti zilizojitokeza katika mahusiano yake dhidi ya Mh. Mbunge Elibariki Kingu na Mc Pilipili.