Home » Music » Kadinali Pengo amewataka Watanzania kuwa mabalozi wa Amani

Kadinali Pengo amewataka Watanzania kuwa mabalozi wa Amani

Written By tuos TV on Monday, Aug 21, 2017 | 11:49 AM

 
Aliyasema hayo wakati akihutubia waamini waliokusanyika katika uzinduzi wa parokia ya Mbweni, ambayo ilikuwa kigango kwa takribani miaka kumi, Parokia hii ni 101 kati ya parokia zote zilizopo jijini Dar es salaam, hivyo mpaka sasa kuna parokia 107