Home » News & Politics » Rais Magufuli Azindua Barabara Tabora

Rais Magufuli Azindua Barabara Tabora

Written By SIMU. Tv on Sunday, Jul 23, 2017 | 02:08 PM

 
Rais Magufuli aanza ziara yake mkoani Tabora na kuzindua barabara, huku akiwaasa wakazi wa mkoa huo juu ya masuala mbalimbali ya maendeleo.