Home » News & Politics » AZAM TV – NYOSO AIBUKIA NDONDO CUP, MISOSI YAIUA FARU JEURI

AZAM TV – NYOSO AIBUKIA NDONDO CUP, MISOSI YAIUA FARU JEURI

Written By Azam TV on Wednesday, Jul 19, 2017 | 12:23 PM

 
Mchezaji mpya wa Kagera Sugar Juma Nyoso ambaye aliwahi kukumbwa na adhabu baaada ya kufanya vitendo vya utovu wa nidhamu, ameibukia kwenye mashindano ya ndondo cup, huku timu yake Misosi FC ikiiua Faru jeuri bao 1-0.