Home » Music » Mama Anna Mghwila ajivua uanachama ACT

Mama Anna Mghwila ajivua uanachama ACT

Written By ZeShoot on Sunday, Jun 04, 2017 | 11:54 AM

 
Mama Anna Mghwila Aliyekua mwenyekiti wa act wazalendo,baada ya kuteuliwa kua mkuu wa mkoa Kilimanjaro amejiuzuru wadhfa wake ktk chama chake cha ACT wazalendo ili akaitumikie vema nafasi yake hiyo mpya.