Kufuatia kuvuja kwa video chafu iliyomhusisha wakili maarufu hapa nchini, Albert Msando na video queen na prizenta anayekuja kwa kasi Bongo, Gigy Money kuvuja, ikiwaonesha wakifanya mambo ambayo ni kinyume na maadili ya kitanzania, Wakili huyo amefunguka.
Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1
Katika mahojiano maalum na mwandishi wetu kwa njia ya simu, Msando amefunguka kwamba Gigy Money ameamua kumchafua kwa makusudi kwa sababu yeye ndioye aliyerekodi video hiyo kisha kuisambaza kwenye mitandao ya kijamii.
Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1
Msando amekiri kwamba kweli ni yeye anayeonekana kwenye video hiyo akiwa na Gigy Money na kueleza kuwa mwanadada huyo ndiye aliyeomba kukutana naye jijini Arusha, baada ya kumaliza shoo mjini Moshi.
Visit https://globalpublishers.co.tz/
Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1
Msando ameeleza kwamba Gigy Money alikuwa akimsumbua kwa muda mrefu akitaka kuonana naye na walipoenda Arusha, alikuwa na rafiki yake ambapo walipofika kwenye klabu inayomilikiwa na wakili huyo msomi, ndipo yalipotokea ya kutokea.
Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1
Msando ameeleza kwamba ni kweli alikuwa amelewa na walikuwa ndani ya gari, nje ya klabu yake majira ya alfajiri baada ya kufunga klabu hiyo ambapo kwa kuwa alikuwa amelewa, Gigy Money alifanya alichokifanya.
Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1
Amezidi kufunguka kuwa aliamua kufanya hivyo kama kumlipizia kwa sababu wiki moja nyuma, Msando aliandika kupitia ukurasa wake wa Instagram akimponda mwanadada huyo kutokana na kudai kwamba hakumbuki idadi ya wanaume aliotoka nao.
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…
http://www.youtube.com/c/uwazi1
http://www.youtube.com/c/uwazi1
http://www.youtube.com/c/uwazi1