Home » People & Blogs » Serengeti Boys Wazungumzia Somo Walilopata Kutoka Zambia

Serengeti Boys Wazungumzia Somo Walilopata Kutoka Zambia

Written By SIMU. Tv on Thursday, Mar 16, 2017 | 02:07 PM

 
Nahodha wa timu ya taifa ya vijana Serengeti boys Issa Juma Abdi Makamba amesema timu ya vijana ya Zambia iliofanikiwa kutwaa ubingwa wa Afrika imekua chachu kubwa kwao katika kujiandaa na fainali za vijana huko nchini Gabon.