Home » Music » Mume amuweka mkewe kituo cha polisi kisa hati ya nyumba

Mume amuweka mkewe kituo cha polisi kisa hati ya nyumba

Written By Geah Habibu on Wednesday, Mar 29, 2017 | 09:49 AM

 
Kwa mujibu wa Shemeji wa mwanaume huyo (Dada wa mke) anasema Mume huyo amemshtaki mke wake akimtuhumu kuiba hati ya nyumba na kusababisha mkewe kuwekwa ndani akiwa na mtoto wake Mdogo wa miezi miwili. Inasemekana chanzo ya hayo yote ni Mwanaume huyo kuwa na Nyumba ndogo ambapo alianza kuchukua vitu vya ndani kwa mke mkubwa na kupeleka kwa bi Mdogo ndipo siku nyingine alipokuja kuchukua hati mwanamke alikataa na kuamua kwenda kuificha... -Video Upload powered by https://www.TunesToTube.com