Home » Music » Madawa ya kulevya: Gwajima asema DC Makonda anatumika

Madawa ya kulevya: Gwajima asema DC Makonda anatumika

Written By Vedasto Dunstan on Thursday, Feb 09, 2017 | 06:24 AM

 
Baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kumtuhumu Askofu Gwajima Kujihusisha na Madawa ya Kulevya, Gwajima ameamua kujibu mapigo. amedai Makonda anatumika, wauza madawa anawajua ila hawataji