Home » News & Politics » Original Komedi walivyoingia kwenye Harusi ya Masanja na sare za Polisi

Original Komedi walivyoingia kwenye Harusi ya Masanja na sare za Polisi

Written By Millard Ayo on Monday, Aug 15, 2016 | 12:45 AM

 
Ilikua ni kwenye harusi ya mchekeshaji mwenzao ambaye ni Masanja Mkandamizaji ambapo Wachekeshaji wenzake waliingia wakiwa wamevalia sare za jeshi la Polisi Tanzania.