Home » News & Politics » Picha za Rais Uhuru Kenyatta

Picha za Rais Uhuru Kenyatta

Written By KTN News Kenya on Thursday, Apr 18, 2013 | 02:16 PM

 
Sasa ni rasmi wakenya watatakiwa kununua picha za rais kutoka wizara ya mawasiliano, na kama anavyoripoti mwanahabari Hussein Mohammed wachuuzi waliojitosa katika biashara hiyo wamepata pigo katika shughuli hiyo. Watch KTN Streaming LIVE from Kenya 24/7 on http://www.ktnkenya.tv Follow us on http://www.twitter.com/ktnkenya Like us on http://www.facebook.com/ktnkenya