Home » Music » SHAURI YAKO with lyrics (Orchestra Super Mazembe)

SHAURI YAKO with lyrics (Orchestra Super Mazembe)

Written By sparrowdudu on Sunday, Oct 24, 2010 | 11:21 AM

 
Lyrics and translation below: "Nilikwelezeyaka oh mama, (I used to tell you oh my lady) Fatou, wangu mama (Fatou, my lady) Nilikwelezeyaka oh mama, Fatou, wangu mama Mapenzie ya kwetu eeh (This love of ours) haita tawi hata mama (Will not survive much longer) Mapenzie ya kwetu eeh haita tawi hata mama Tabia yako na yangu (Your character and mine) haisikilizani (Are incompatible) Tabia yako na yangu haisikilizani Unaona (You need to understand) unaona sasa we mama (You need to understand, my lady) Unaona unaona sasa we mama * * * * * * * * * * Unapenda kuvaa (You like to dress well) Mimi sina namna Fatou we (I have no way to support that) Unapenda kula vizuri (You like to dine well) Mimi sina pesa oh Fatou we (I have no money, oh Fatou) Nipe mali (Borrowing money) Sizoe (I do not want to become a regular at this) Niuwe mutu (Kill someone) Nipate dawa ya feza (So that I can find a way to wealth) Niuwe mutu Watanifunga (The man will surely lock me up) Niuwe mutu Thambi kwa Mungu Baba (That's a sin against the Lord God) Kama hunipendi we (If you do not love me as I am, then) Uende lote mama (Be completely gone, my lady) Kama hunipendi we Uende lote mama Shauri yako, shauri yako eeh (Its your problem) Shauri yako, shauri yako eeh Shauri yako Wende lote Zena wangu (Be completely gone, my lady) Siwezi kuua mutu mama (I cannot kill a soul, my lady) Thambi kwa Mungu Baba yo (That's a sin against the Lord God) Siwezi kuua mutu mama Thambi kwa Mungu Baba yo Shauri yako, shauri yako eeh Shauri yako, shauri yako eeh Shauri yako Wende lote Zena wangu Siwezi kuua mutu mama Thambi kwa Mungu Baba yo Siwezi kuua mutu mama Thambi kwa Mungu Baba yo (Wende lote Zena wangu!) * * * * * * * * * * * * Niibe mali (If I steal) Watanifunga (The man will surely lock me up) Niuwe mutu (Kill someone) Thambi kwa Mungu Baba (That's a sin against the Lord God) Kama hunipendi we Uende lote mama Kama hunipendi we Uende lote mama Shauri yako, shauri yako eeh Shauri yako, shauri yako eeh Shauri yako Wende lote Zena wangu Siwezi kuua mutu mama Thambi kwa Mungu Baba yo Siwezi kuua mutu mama Thambi kwa Mungu Baba yo (Ohhh! Zena wangu! Wende lote Zena...) * * * * * * * * * * * Niibe mali Watanifunga Niuwe mutu Thambi kwa Mungu Baba Kama hunipendi we Uende lote mama Kama hunipendi we Uende lote mama Niibe mali Watanifunga Niuwe mutu Thambi kwa Mungu Baba Kama hunipendi we Uende lote mama Kama hunipendi we Uende lote mama Shauri yako, shauri yako eeh Shauri yako, shauri yako eeh Shauri yako Wende lote Zena wangu Siwezi kuua mutu mama Thambi kwa Mungu Baba yo Siwezi kuua mutu mama Thambi kwa Mungu Baba yo * * * * * * * * * * * Niibe mali ukitaka watanifunga mama niue mutu Thambi kwa Mungu Baba eh Kama hunipendi bibi yangu uende lote mama Kama hunipendi Uende lote mama Niibe mali ukitaka watanifunga mama niue mutu Thambi kwa Mungu eh Kama hunipendi bibi yangu (If you do not love me, my wife) uende kwenu mama (Go back to your family) Kama hunipendi (If you do not love me) uniwache yangu mama eeh (Leave me and mine) Kama hunipendi Cherie Mama wende lote Ohhh wende lote mama Ohhh wende lote mama Ohhh wende lote mama Ohhh wende lote mama Ohhh Zena wangu Ohhh wende lote mama Ohhh wende lote mama Ohhh wende lote mama Ohhh wende lote mama Ohhh wende lote mama Ohhh wende lote mama Ohhh wende lote mama Ohhh wende lote mama Zena wangu (My Zena) Mtoto wa kwetu" (Child of ours) (Composer: Nguashi Ntimbo) Check out A.I Records Original Artists on Spotify.