Home » News & Politics » DED matatani akidaiwa kuonesha dharau kwa wakimbiza Mwenge wa Uhuru

DED matatani akidaiwa kuonesha dharau kwa wakimbiza Mwenge wa Uhuru

Written By Azam TV on Saturday, Jul 08, 2023 | 02:02 PM

 
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya mkoani Mara, Abdul Mtaka ameingia matatani kwa wakimbiza Mwenge wa Uhuru kitaifa baada ya kudaiwa kuonesha dharau wakati akiulizwa maswali mbalimbali. #AzamTVUpdated