Home » News & Politics » Msaidizi wa Rais wa zamani Trump anakabiliwa na mshtaka ya kuhusika kuficha nyaraka za siri

Msaidizi wa Rais wa zamani Trump anakabiliwa na mshtaka ya kuhusika kuficha nyaraka za siri

Written By VOA Swahili on Wednesday, Jun 28, 2023 | 01:09 AM

 
Msaidizi wa Rais wa zamani wa Marekani anatarajiwa kufikishwa mahakamani kujibu mashtaka ya kuhusika kuficha nyara za siri za serikali ambapo Wizara ya Sheria ilitaka zirudishwe. Msaidizi huyu alifunguliwa mashtaka na Rais Donald Trump. Endelea kusikiliza...⁣ #msaidizi #raiswazamani #donaldtrump #mashtaka #nyarakazasiri #serikali #wizarayasheria #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.