Home » News & Politics » Kigoda Cha Mwalimu Nyerere champa Tuzo Maalum Dkt. Salim Ahmed Salim

Kigoda Cha Mwalimu Nyerere champa Tuzo Maalum Dkt. Salim Ahmed Salim

Written By Azam TV on Tuesday, Jun 27, 2023 | 02:29 PM

 
Waziri Mkuu mstaafu, Dkt. Salim Ahmed Salim ambaye pia amewahi kuwa Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Afrika (OAU), amepewa tuzo ya Kigoda cha Mwalimu Nyerere cha Umajumuhi wa Afrika ambacho kimehitimishwa leo Jijini Dar es Salaam.