Home » People & Blogs » Dr. Chris Mauki: Ili tendo la ndoa liondoe stress, zingatia haya manne

Dr. Chris Mauki: Ili tendo la ndoa liondoe stress, zingatia haya manne

Written By Chris Mauki on Monday, Jun 19, 2023 | 07:00 AM

 
Tendo la ndoa “sex” linaweza kuwa chanzo cha stress au dawa ya stress. Sasa ili tendo hilo liwasaidie kuondoa stress kuna mambo muhimu ya kuzingatia. Kinyume chake mtaongeza stress. Mambo manne haya hapa