Home » People & Blogs » Ask. Kilaini afunguka Hija ya Maaskofu Roma/ Adokeza mazungumzo na Baba Mtakatifu / "Ushoga Hapana"

Ask. Kilaini afunguka Hija ya Maaskofu Roma/ Adokeza mazungumzo na Baba Mtakatifu / "Ushoga Hapana"

Written By Radio Mbiu on Saturday, Jun 03, 2023 | 05:25 AM

 
Ni Msimamizi wa Kitume Jimbo Katoliki la Bukoba Askofu Method Kilaini aliporejea Jimboni Bukoba , baada ya ziara ya Hija ya kichungaji ya Maaskofu wa Kanisa Kaoliki Tanzania, waliposhiriki Hija hiyo takatifu Roma Italia. www.radiombiu.co.tz #RmSautiYaFaraja