Home » Sports » YANGA TV 19/05/2023 | Yaliyojiri wakati Yanga ikitinga fainali ya CAF CC, Rais Samia akoleza

YANGA TV 19/05/2023 | Yaliyojiri wakati Yanga ikitinga fainali ya CAF CC, Rais Samia akoleza

Written By Azam TV on Saturday, May 20, 2023 | 03:07 PM

 
Ilikuwa ni wiki ya furaha baada ya timu ya wananchi, Yanga kuwatoa Marumo Gallants ya Afrika Kusini na kutinga fainali ya Kombe la Shirikisho, barani Afrika... jambo ambalo ni historia kwa nchi na klabu yenyewe... Hapa utapata safari nzima, ya nusu fainali na mahojiano baada ya kuwatoa Marumo nchini Afrika Kusini hadi ilipowasili jijini Dar es Salaam, lakini pia kauli ya Rais Samia kuongeza dau katika 'Goli la Mama' pamoja na kuahidi kutoa ndege kwa ajili ya fainali. Hii ni #YangaTV kila Ijumaa saa 1:30 usiku #AzamSports1HD