Home » Education » #LIVE: IBADA YA LUNCH HOUR | 22 - 05 - 2023

#LIVE: IBADA YA LUNCH HOUR | 22 - 05 - 2023

Written By Azania frontTv on Monday, May 22, 2023 | 07:04 PM

 
KKKT KANISA KUU AZANIA FRONT - IBADA YA LUNCH HOUR SOMO: SHAURI LA MAUTI Mathayo 26:4 MHUBIRI: MWL. AARON ULAYA. --------------------------------------------------------------- MATHAYO 26:4 4. Wakafanya shauri pamoja, ili wamkamate Yesu kwa hila na kumwua. KUTOKA 18:19-20 19. Sikiza sasa neno langu, nitakupa shauri, na Mungu na awe pamoja nawe; uwe wewe kwa ajili ya watu mbele ya Mungu, nawe umletee Mungu maneno yao 20. Nawe utawafundisha zile amri na sheria, nawe utawaonesha njia ambayo inawapasa kuiendea, na kazi ambayo inawapasa kuifanya. MWANZO 37:18-20 18. Wakamwona akiwa mbali, na kabla hajawakaribia, wakafanya shauri juu yake ili wamwue. 19. Wakasemezana wao kwa wao, Tazama, yule bwana wa ndoto anakuja. 20. Haya, twende, tukamwue na kumtupa katika shimo mojawapo, nasi tutasema, Mnyama mkali amemla; kisha tutaona zitakuwaje ndoto zake. MWANZO 1:26 26. Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila kiumbe kitambaacho nchini. ................................................................ KARIBU KUTOA SADAKA KWA NJIA ZIFUATAZO: ----------------------------------------------- WAKALA WA M-PESA & NAMBA YA MPESA 579 579 4 || 0757 - 391 - 174 JINA: KKKT AZANIA FRONT CATHEDRAL MAENDELEO BANK A/C NO 0137 9274 6021 JINA: LUTHERAN CHURCH AZANIA FRONT CATHEDRAL TUFUATILIE KWENYE MITANDAO KWA TAHARIFA ZAIDI: Instagram page: https://www.instagram.com/kkkt_azaniafront_cathedral/ Website: https://www.azaniafront.org/ Facebook: https://www.facebook.com/KKKT-Azania-Front-Cathedral-101434162039079 #azaniafrontcathedral #ibada #lunchhour