Home » News & Politics » Bashe amjibu Halima Mdee sakata la BBT "Yeye mwenyewe...anatumia zile za VIJUNGU"

Bashe amjibu Halima Mdee sakata la BBT "Yeye mwenyewe...anatumia zile za VIJUNGU"

Written By Mwananchi Digital on Tuesday, May 09, 2023 | 05:17 PM

 
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe wakati akihitimisha hoja yake ya mkadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Kilimo na taasisi zake kwa mwaka wa fedha 2023/24.