Home » News & Politics » Watatu wafa maji Arusha baada ya maji kusomba gari waliyokuwemo

Watatu wafa maji Arusha baada ya maji kusomba gari waliyokuwemo

Written By Azam TV on Tuesday, Apr 25, 2023 | 03:07 PM

 
Wanafamilia watatu wamefariki dunia na wengine wawili wakinusurika baada ya gari walilokuwa wakisafiria kutoka Arusha kuelekea Moshi, Arusha kwenye mahafali ya kijana wao anayehitimu kidato cha sita kusombwa na maji katika eneo la Malula King'ori wilayani Arumeru mkoani Arusha. #ajali #vifo #dereva #mvua #arusha #familia