Home Β» Entertainment Β» TAHARUKI SUDANI! HOSPITALI ZAFUNGWA, MABOMU YALIPUKA KILA KONA, MAPIGANO YAZUKA GHAFLA

TAHARUKI SUDANI! HOSPITALI ZAFUNGWA, MABOMU YALIPUKA KILA KONA, MAPIGANO YAZUKA GHAFLA

Written By Wasafi Media on Thursday, Apr 20, 2023 | 04:10 AM

 
TAHARUKI SUDANI! HOSPITALI ZAFUNGWA, MABOMU YALIPUKA KILA KONA, MAPIGANO YAZUKA GHAFLA Milipuko mikubwa ya mabomu na milio ya risasi imeendelea kusikika mjini Khartoum, wakati jeshi la Sudan na kikosi hasimu chenye nguvu cha wanamgambo wakipambana mitaani kwa ajili ya udhibiti wa nchi nchi hiyo . Kuzuka ghafla kwa mapigano mwishoni mwa wiki baina ya majenerali wawili wa juu wote wanaungwa mkono na maelfu ya wapiganaji wenye silaha nzito, hali hiyo imewasababisha watu kukwama katika nyumba zao au mahali popote wanapoweza kupata hifadhi. Bidhaa muhimu zimeanza kupungua na hospitali kadhaa zimelazimika kufungwa WATCH WASAFI TVπŸ“Ί AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM πŸ“» 88.9 DAR/ZNZ/PWANI πŸ“» | 104.1 DODOMA πŸ“» | 94.5 ARUSHA πŸ“» | 97.3 MBEYA πŸ“» | 94.9 MWANZA πŸ“» | SHINYANGA 106.3 πŸ“» | KIGOMA 101.7 πŸ“» Follow Us On: INSTAGRAM: http://instagram.com/wasafitv || http://instagram.com/wasafifm/ TWITTER: https://twitter.com/wasafitv || https://twitter.com/wasafifm/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/wasafitv/ π‘ͺπ’π’‘π’šπ’“π’Šπ’ˆπ’‰π’• Β©2021 π‘Ύπ’‚π’”π’‚π’‡π’Š π‘΄π’†π’…π’Šπ’‚. 𝑨𝒍𝒍 π’“π’Šπ’ˆπ’‰π’•π’” 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm