Home » Sports » LEO SIJALA KISA YANGA/MAYELE NI JINI,UKIMKAMIA ANAKUWEKA/IDI PILI MAGOLI MAWILI/KAZI WANAYO.

LEO SIJALA KISA YANGA/MAYELE NI JINI,UKIMKAMIA ANAKUWEKA/IDI PILI MAGOLI MAWILI/KAZI WANAYO.

Written By Mpenja TV on Sunday, Apr 23, 2023 | 01:37 PM

 
Leo Aprili 23 2023,Mashabiki na Wanachama wa Yanga SC, wamekusanyika Makao makuu ya Klabu yao kutizama mchezo wa mkondo wa kwanza Robo Fainali kombe la Shirikisho Afrika kati ya Rivers united ya Nigeria na Yanga SC,Uliochezwa Uwanja wa Godswill Akpabio Nigeria. Yanga SC wameibuka na Ushindi wa Magoli 2-0 dhidi ya Rivers United,yaliyofungwa na Fiston Mayele