Home » People & Blogs » JE, NA MUHA ANAWEZA KUWA PADRE? Homilia ya Misa ya Shukrani ya Askofu Ndizeye- KANISA KUU Kigoma.

JE, NA MUHA ANAWEZA KUWA PADRE? Homilia ya Misa ya Shukrani ya Askofu Ndizeye- KANISA KUU Kigoma.

Written By NURU Online Tv Tanzania. on Saturday, Apr 29, 2023 | 02:44 PM

 
Homilia ya Misa ya Shukrani ya Mh. Baba Askofu Christopher Ndizeye Kanisa Kuu la Kigoma iliyo ongozwa na Mh. Baba Askofu Mkuu Paul Ruzoka Jimbo Kuu la Tabora. Tarehe 27.4.2023 Misa Hiyo iliadhimishwa Jimboni Kigoma. Katika homilia hiyo Askofu Mkuu alitumia misemo ya Lugha ya Kiha pamoja na Nyimbo za kusisimua hakika ilikuwa homilia ya Kutufundisha na kutufurahisha. Katika homilia hiyo pia alisema yafuatayo: - JE, na Muha Anaweza kuwa Padre? - Mafundisho potisho yanayoendelea Duniani. - Kutembea kutika kukubalika na Mungu (Ukuzenzela mubwemerwa bwi mana- Katekisimu ya Lugha ya Kiha) - Kukua Kwa Miito katika Jimbo letu la Kigoma. - Kutenda na Kuenenda katika hadhi ya utu. - JE, unatakiwa kuwa mtu wa namna GANI katika Maisha yako?. Ukiwa mwanafamilia, mtawa, Padre, Mtoto, mwanafunzi unatakiwa uwe wa namna GANI? -Askofu anapaswa Kuwa mtu wa kuweza Kuwasaidia watu masikini. - Askofu Christopher Ndizeye amejibu mwaliko wa Kristo aliye hai. - KWAUJUMLA WANAKIGOMA NA FAMILIA YA ASKOFU CHRISTOPHER NDIZEYE NA ASKOFU MWENYEWE TUNAMSHUKURU MUNGU KWA YOTE. "BWANA MUNGU AMENITENDEA MAMBO MAKUU TULIKUWA TUKIFURAHI"