#djkezzkenya #Natetewa #7hm
Based on Her True Life Story, This is The Official Music Video For NATETEWA By Dj Kezz Kenya
NATETEWA [NEEMA] SWAHILI LYRICS
Mwenzenu mi natetewa, Na Neema.
Ninapigariwa na Neema
Jamani ninatetewa na Neema
Ninapiganiwa vita vyangu - Na Neema.
Aliniita, wacha niwashangaze!
Alinichagua, Mimi mkuu wa dhambi
Nimeonja neema ya Yesu
Nimeonja Huruma zake.
Alinipenda Kwa udhaifu wangu
Nimengaa Neema Inanitosha.
Kwa Neema Ya Yesu nimekombolewa - Kwa njia ya Imani, Kwa Njia ya Imani
Jambo hili si tokeo la júhudi zetu - Bali ni mungu ametupa zawadi
Wala halitokani na matendo yetu - Asije mtu akajivunia Kitu
Mwenzenu mi natetewa, Na Neema.
Ninapigariwa na Neema
Jamani ninatetewa na Neema
Ninapiganiwa vita vyangu - Na Neema.
Mimi Mwenzenu, ni nini hata hamnijali?
Kila mara mwajishughulisha na vya Kwangu Mimi.
Maisha yangu tayari magumu duniani, Maneno yenu makali yachoma Yaniweka chini
Wewe wacha Kunichunguza
Kila asubuhi Kukicha,
Wanijaribu hadi jua likitua.
Nimekua shabaha ya Mapigo yako
Kwani nimekua Mzigo Kwako
Maisha yangu yamekua Cinema Kwako
Kwanguka Kwangu ndio furaha ya Kwako.
Nikitenda dhambi, Yakudhuku nini,
Mkaguzi wa Binadamu wewe
Aliyenifia mimi aliniona worthy,
Natetewa , natetewa na Neema Yake....
Mwenzenu mi natetewa, Na Neema.
Ninapigariwa na Neema
Jamani ninatetewa na Neema
Ninapiganiwa vita vyangu - Na Neema.
Video Directed By - Jijo Drumbeats
Audio Producer - Giddy Vibes
Make Up Artist - Make Up By Linda
Hair By - SANDE
Dressed By - House Of Kezz Designs
Special Thanks to Friends International Church - Ngong Road and Formula 1 Syokimau for Allowing Me to Tell My Story At Your Premises.
#djkezzkenya #Natetewa #7hm