Home » Sports » AHMED ALLY: "SIMBA VS WYDAD VAR KUTUMIKA/WALISEMA MWENDO TUMEUMALIZA/WYDAD NI NGUMU/KANOUTE,MANULA.

AHMED ALLY: "SIMBA VS WYDAD VAR KUTUMIKA/WALISEMA MWENDO TUMEUMALIZA/WYDAD NI NGUMU/KANOUTE,MANULA.

Written By Mpenja TV on Tuesday, Apr 18, 2023 | 06:29 AM

 
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC,Ahmed Ally pamoja na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba SC,Imani Kajula wameeleza Mipango na Mikakati ya Timu kuelekea Mchezo wa Robo Fainali ya ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Wydad Athletic Club ya Morocco,Utakaochezwa Jumamosi Aprili 22 2023,Saa Kumi Jioni, Katika Uwanja wa Benjamin Mkapa. Kwenye Mchezo huo Teknolojia ya VAR (VIDEO ASSISTANT REFEREE) itatumika. Wadhamini wakuu wa Simba SC,Kampuni ya Kubashiri Michezo MBET kupitia Meneja Masoko Allen Mushi ameikabidhi Simba SC Milioni 100 ikiwa ni Bonus kwa kutinga Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika