Home » People & Blogs » BINTI AKATAA JINSIA YAKE AAMUA KUOA WANAWAKE WENZAKE, ATAKA KUITWA 'BROTHER'

BINTI AKATAA JINSIA YAKE AAMUA KUOA WANAWAKE WENZAKE, ATAKA KUITWA 'BROTHER'

Written By Haleluya Tv on Wednesday, Mar 29, 2023 | 06:30 AM

 
#HaleluyaTv #ProphetRolinga #OmegaMinistriesChurchofAllNations #ocoan Lina ni binti ambae alivamiwa na mapepo na kujikuta anakata jinsia yake na kuwa na tabia za kiume ambapo ilipelekea kuingia kwenye mahusiano na wanawake wenzake na kuwaita waken wake zake, ilifikia hatua mpaka akawa anavunja ndoa za watu kwasababu ya kuwachukua wake za watu. Kuendelea kupata Shuhuda mbalimbali na Maneno zaidi, tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamii:- Facebook : https://www.facebook.com/prophetrolinga Instagram : https://www.instagram.com/prophetrolinga/ YouTube : https://www.youtube.com/c/HaleluyaTv Audiomack : https://audiomack.com/prophetrolinga