Home » News & Politics » Serikali yatenga nafasi 30,000 za ajira mwaka 2022/23

Serikali yatenga nafasi 30,000 za ajira mwaka 2022/23

Written By Mwananchi Digital on Thursday, Nov 10, 2022 | 04:54 AM

 
Serikali imetenga nafasi 30,000 za ajira kwa kada mbalimbali katika mwaka wa 2022/23, bunge limeelezwa leo. Naibu Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Deo Ndejembi ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Novemba 10,2022 ambapo amesema mchakato wa ajira hizo unaendelea. Ndejembi alikuwa anajibu swali la mbunge Viti Maalum Asia Halamga (CCM) ambaye ametaka kujua ni lini Serikali itaajiri wataalamu wa mazingira ili kusaidia kuweka vema mazingira