Home » News & Politics » Rais William Ruto azindua hazina ya 'Hasla' Nairobi

Rais William Ruto azindua hazina ya 'Hasla' Nairobi

Written By Citizen TV Kenya on Wednesday, Nov 30, 2022 | 11:16 AM

 
Rais William Ruto hii leo ameanzisha rasmi hazina ya hasla ya shilingi bilioni 50 huku akitoa onyo dhidi ya kutumia vibaya fedha hizo. Rais anasema riba ya chini itamsaidia mwananchi wa kawaida kuweza kupata fedha za kuweza kujiendeleza kimaisha. Rais na viongozi wengine wakitetea hazina hiyo dhidi ya wale wanaoikosoa kama anavyotuarifu Brenda Wanga.