Home » News & Politics » Mizani ya Wiki || Mradi wa SGR na ndoto ya mapinduzi ya kiuchumi Tanzania

Mizani ya Wiki || Mradi wa SGR na ndoto ya mapinduzi ya kiuchumi Tanzania

Written By Azam TV on Monday, Nov 28, 2022 | 10:23 AM

 
Baada ya kusambaa kwa picha za mabehewa ya treni za kisasa zinazotarajiwa kuanza kazi nchini kupitia mradi wa SGR na baadae kukosolewa kwa shirika la reli nchini kabla ya mkurugenzi mkuu wa TRC kutoa ufafanuzi leo tunaangalia kwa kina manufaa ya mradi huo na kizungumkuti cha treni za kisasa.